Tunakutukuza Lyrics Essence of Worship ft Stephen Malilo

Tunakutukuza 

Tunakuiniua

Wewe ni mwema kwetu


Hatukustahili neema yako

Upendo wako Yesu

Ukamtoa mwana wa pekee

Aje kwetu kutukomboa sisi


Umetutoa chini

Na kutuweka juu

Umetutoa juu

Mpaka kileleni eeh


Tunakutukuza Bwana

Tunakubariki mfalme

Tunakutukuza Bwana

Tunakubariki mfalme


Tunakutukuza 

Tunakuiniua

Wewe ni mwema kwetu


Wewe ni mwema aah

Wewe ni mwema aah

Wewe ni mwema aah

Wewe ni mwema aah


Wewe ni mwema Baba eh

Wewe ni mwema Baba eh

Wewe ni mwema Baba eh

Wewe ni mwema Baba eh