MercyLinah Mwenye Nguvu Lyrics

Utendaye mambo makuu yasiyotafutika
Na mambo ya ajabu yasiyohesabika
Ufanyaye njia jangwani
Na mito ya maji nyikani
Eeeh Mungu mwaminifu usiyeshindwa



Mwenye Nguvu Ni wee
mwenye mamlaka, ni wee
Mwenye uweza, ni wee
Ehh Yahwe, ni wee


Ooh Yahwe, Yahwe
Oooh Yahwe
Twakuheshimu
Twakuabudu