Wewe Ni Mungu Lyrics Essence of Worship ft. Eliya Mwantondo

 

Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu
Bwana Bwana)
Unastahili Unastahili
Bwana Bwana

Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu
Bwana Bwana
Unastahili Unastahili
Bwana Bwana

Uweza ni wako
Mamalaka ni yako
Bwana Bwana

Uweza ni wako
Mamlaka ni yako
Bwana Bwana

Unatawala milele
Bwana Bwana
Umejivika heshima
Bwana Bwana

Unatawala milele
Bwana Bwana
Umejivika heshima
Bwana Bwana