Mungu Wa Milele Lyrics Essence Of Worship



Mungu, Mungu wa milele

Baba, Baba wa milele

Mungu, Mungu wa milele

Baba, Baba wa milele



Tunakusifu Mungu

Tunakuinua Yahwe

Tunakusifu Mungu

Tunakuinua Yahwe




Mungu, Mungu wa milele

Baba, Baba wa milele

Mungu, Mungu wa milele

Baba, Baba wa milele




Tunakusifu Mungu

Tunakuinua Yahwe

Tunakusifu Mungu

Tunakuinua Yahwe




Ninakusifu Mungu

Ninakuinua Yahwe

Ninakusifu Mungu

Ninakuinua Yahwe




Matendo Yako yatushangaza

Ukuu wako watushangaza

Matendo Yako yatushangaza

Ukuu wako watushangaza




Nikulinganishe (Na nini)

Nikufananishe (Na nini)

Nikulinganishe (Na nini)

Nikufananishe (Na nini)




Mungu, Mungu wa milele

Baba, Baba wa milele

Mungu, Mungu wa milele

Baba, Baba wa milele