Jehovah Mwenye Nguvu Lyrics By Boaz Danken ft Gladness Siyame

 Jehovah mwenye nguvu
Ni mungu mkamilifu
Ni mungu mtakatifu
Akili zako hazichunguziki


Wewe niko ambaye niko
Ni Mungu wa vizazi vyote
Uliumba vitu vyote
Lakini wewe haukuumbwa

Wewe ndiwe chakula changu cha kila siku
Neno lako la uzima ndani yangu
Wewe ndiwe nguvu yangu mifupa yangu
Bila wewe siwezi kitu nguvu yangu

 Jehovah mwenye nguvu
Ni mungu mkamilifu
Ni mungu mtakatifu
Akili zako hazichunguziki

Tunakuabudu
Tunakuheshimu
Tunanyenyekea
Wastahili Bwana

Halleluya
Halleluya
Halleluya
Halleluya Bwana

You are Holy
You are Holy
You are Holy, Holy