Jemedari Lyrics by Bella Kombo ft. John Kavishe



Ni Jemedari mkuu
Ni Jemedari x3 mkuu

Jehovah Nissi
Jehovah Nissi 
Ni Jemedari mkuu 


Vita hii si yangu pekee yangu 
Unapigana wewe
Maadui ni wengi, mbele yangu
Kwa nguvu zangu siwezi 
Nyuma kuna maadui, mbele bahari 
Kwa mkono wako nitavuka
Ujasiri wangu, ni kwa neno lako
Ni kwa neno, ni kwa neno lako
We Jemedari, Jemedari


Wanipigania, wanishindia vita 
Jemedari Mkuu