Majina Yote Mazuri Jehovah Lyrics By Dedo D. ft Naomi M.

Majina yote mazuri ni yako, Eeh Jehova Muumbaji wangu.
Nikupe jina gani kwani kila la kiheri ni upekee wako
Majina yote mazuri ni yako, Ewe Jehova Muumbaji wangu.
Nikupe jina gani kwani kila la kiheri ni upekee wako.
Majina yote mazuri ni yako, Eeh Jehova Muumbaji wangu.
Nikupe jina gani kwani kila la kiheri ni upekee wako X 3

Umeniponya nakuita Jehovah Rapha, Mungu mponyaji wangu.
Umeniokoa nakuita Mwokozi, Bwana Mungu wa Wokovu wangu
Umenipigania nakuita Jehova Nissi, Bendera ya ushindu wangu.

Usifiwe ewe Bwana muumba wangu Na nuru yangu 
Wema wako wanijaza Moyo.
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena kiongozi wa maisha yangu 
Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa
Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki
Nimekupata na nikaridhika
Wewe ni yote ndani ya yote

Usifiwe ewe Bwana muumba wangu Na nuru yangu , 
Wema wako wanijaza Moyo.
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena kiongozi wa maisha yangu 
Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa
Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki
Nimekupata na nikaridhika
Wewe ni yote ndani ya yote

Usifiwe ewe Bwana muumba wangu Na nuru yangu 
Wema wako wanijaza Moyo.
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena kiongozi wa maisha yangu 
Wanitazama kama mboni ya jicho lako