GHARAMA LYRICS - Guardian Angel FT. Rose Muhando



Lili lalalala
Lili lalalalala
Lili lalalala
Lili lalalalala


Kile unapanda utavuna wewe
Ukipanda mazuri utavuna wewe
Kile unapanda utavuna wewe
Ukipanda maovu utavuna we


Lili lalalala
Lili lalalalala
Lili lalalala
Lili lalalalala


Katika maisha yako jifunze kuwa na kumbukumbu
Lolote ufanyalo lazima kuweka kumbukumbu
Mema na mabaya lazima uandike kumbukumbu
Basi yale uliyopanda jana,ndivyo unavyoishi leo
Na yale unayopanda leo, kesho utalipa gharama


Ikiwa mema na mabaya, lazima utalipa gharama
Gharama, gharama, gharama
Gharama, gharama, gharama


Lili lalalala
Lili lalalalala
Lili lalalala1
Lili lalalalala


Minalipa gharama fulani ya mambo fulani nilifanya
Gharama ya choices, decisions, conclusions nili make
Mi najutia makosa nilifanya mami
Minalipa gharama fulani ya mambo fulani nilifanya
Gharama ya choices, decisions, conclusions nili make
Mi najutia makosa nilifanya mami


Kumbuka dunia haisemi uongo, nilazima utalipa
Usije beba mawe ukaumiza mgongo, ukaharibu future
Where do I go, what do I do, maji ya kimwagika hayozoleki
What you should do, muombe Mungu akisha samehe wala hakumbuki


Lili lalalala
Lili lalalalala
Lili lalalala
Lili lalalalala