Asimame mbele ya sanduku la agano
Mungu Wangu hasaidiwi kufanya,
Wako wapi manabii wa baali
Wamuite mungu waoo ashushe moto
Mungu Wangu hasaidiwi kufanya,
Mungu hasaidiwi kutenda,
Hufanya vile apendavyo
Hufanya vile atakavyo
Mungu ni mmoja tu
Na asili yake ni Yeye mwenyewe
Na sisi tumetokana na Yeye
Ametuumba kwa mfano wake
Mungu si mwanadamu
Wala yeye si sanamu
Mungu si mwanadamu hata ajute
Wala si kiziwi hata asisikie
Hivyo miungu yote goti itapiga
T1ena itakiri Yesu ndiye Bwana
Social Plugin