Ombi Langu Lyrics By Rose Muhando

Ili ni ombi langu kwako eh mungu wangu
Hii ni sala yangu kwako eh baba yangu
Unifanyie jambo jipya
Nimesubiri kuvushwa toka nilipoo
Unitende jambo jipya
Moyo wangu watumaini kwamba ww unaweza
Unifanyie jambo jipya
Nimeona umetenda kwa wengine kwenye maisha yao
Nami unitendee jambo jipya
Unitendee jambo jipya
Nimeona umeinua wengii kwenye maisha yao
Unitendee jambo jipya
Yule mjane wa nain aliefiwa na mwanae
Ulinadiri historia yake
Rozalo siku nne kaburini ilo si jambo la kushtuka ulishanga mafarisayo
Mwanamke alitokwa na damu miaka kumi na miwili
ulibadiri maisha yake Unitendee
Aliepooza yupo kule anasubiri muujiza wako
Yesu nakuomba unitendee
Maisha yangu yanazaa mapooza
Uko wapi nabii ubadiri maisha yanguu
Nimechoka kufinyiliwa
Nimechoka kukanyagiwa yesu
Unitendee jambo jipya
Nimesubiri kupandishwa cheo lakini imetoka
Unitendee jambo jipya
Nimeajiliwa miaka mingi kwenye kampuni hii
Lakini sijapandishwa cheo
Walio ajiliwa mwaka jana wengine wamepandishwa vyeo
Sasa wanaitwa ma professor ah
Ombi langu kwako ombi langu kwako
Sala yangu kwako naomba unitendee
unitendee inuka unitendee
Yesuu nakuomba unitendee
Ooh mungu baba (unitendee)
Shuka kwangu (unitendee)
Nitembelee bwana (yesu nakuomba unitendee)
Kutana na machozi yangu (unitendee)
Kutana na kilio changu (unitendee fanya jambo jipya unitendee)
Kutana na shida yangu (unitendee)
Ifariji wewe (unitendee yesuu nakuomba unitendee)
Unifariji bwana ( unitendee)
Ayee yeee (unitendee)
Eeeh ye yeye aleluya (fanya jambo jipya unitendee)
Nia nae alilala pale chini ya mletemu
Ulimtuma kunguru kwake
Alipata nguvu mbona yakushindana na adui zake
Ulibadiri maisha yakee
Mimi ni nani mbele zako ulinifia msalabani
Ebu badiri hatima yanguu
Yesu badiri historia yangu
Badiri maombi yangu
Badiri maisha yanguu
Unitendee
Unitendee yesu unitendee
Fanya jambo jipya unitendee
Unifanyie
Yesu unifanyie
Fanya jambo jipya unifanyie
Unitendee
Hii baba (unitendee yesu nakuomba unitendee)
Nakuomba (unitendee)
Yesu nakuomba (unitendee)
Alleluya (fanya jambo jipya unitendee)
Badiri maisha yangu (unitendee)
Badiri historia yangu (unitendee yesu nakuomba unitendee)
Uuuuh (unitendee)
Uuuuh (unitendee fanya jambo jipya unitendee)
Ooh baba shuka kwangu nitembelee