Jina lako litukuzwe
Baba yetu wa mbinguni
Jina lako litukuzwe
Ufalme wako uje
Baba mapenzi yako yatimizwe
Hapa duniani 
Kama huko mbinguni
Kwa kuwa wewe Yesu
Ulipendezwa utimilifu wako wote ukae
Milele na milele 
Milele na Milele
Malaika wakusifu
Duniani Twakusifu 
Hakuna kama wewe Bwana 
Hakuna Kama wewe Bwana
Tunainama Tunainuka
Twalisifu jina lako Bwana
Hakuna Kama wewe bwana 
Hakuna Kama wewe bwana
Malaika wakusifu
Duniani Twakusifu
Hakuna kama wewe Bwana
Tunainama Tunainuka
Twalisifu jina lako Bwana
Hakuna Kama wewe bwana 
Hakuna Kama wewe bwana 
Baba yetu wa mbinguni
Jina lako litukuzwe
Baba yetu wa mbinguni
Jina lako litukuzwe
Litukuzwe litukuzwe
Jina lako
Eeeh Yesu
Social Plugin