Zoravo - Majeshi Ya Malaika Lyrics (Mtakatifu Ni Bwana)

Majeshi ya malaika 
Yanapaza sauti yakisema
Mtakatifu ni Bwana

Maelfu kwa maelfu 
Yanapaza sauti yakisema
Mtakatifu ni Bwana

Na sisi watoto wako 
Tunapaza sauti yakisema
Mtakatifu ni Bwana

Maelfu kwa maelfu tunapaza sauti yakisema
Mtakatifu ni Bwana
Mtakatifu ni Bwana

Ni Bwana ni Bwana ni Bwana
Mtakatifu ni Bwana