Ni Wewe Lyrics By Dr. Ipyana

Ni wewe,
Bwana ni wewe, ooh
Ni wewe, nami nakutukuza

Asubuhi nimeamshwa
Maana ni kwa nguvu zako mfalme
Ni wewe nami nakutukuza
Mchana kwa shughuli zangu
Yahwe umekua nami, Bwana
Ni wewe nami nakutukuza

Kwako naishi, ninakwenda na kuwa na uhai tu
Ni wewe nami nakutukuza
Umekua kimbilio langu, msaada wangu nyakati zote
Ni wewe nami nakutukuza
Wewe ni Jehovah Nissi Mungu bendera yangu, (Ni wewe iye)
Ni wewe nami nakutukuza
Ulinponya nilipoumwa, ulinipa chakula, (Yesu ni wee)

Ni wewe,
Bwana ni wewe, ooh
Ni wewe, nami nakutukuza
Ni wewe,
Bwana ni wewe, ooh
Ni wewe, nami nakutukuza

Umekua nami
Umetembea nami
Nimerudi kushukuru Mungu wangu
(Repeat x3)

Ni wewe,
Bwana ni wewe, ooh
Ni wewe, nami nakutukuza
Ni wewe,
Bwana ni wewe, ooh
Ni wewe, nami nakutukuza

Aah ni wewe (*3)
Ni wewe nami nakutukuza

Aah ni wewe (*3)
Ni wewe Bwana (*3)