Essence of Worship Twaingia Malangoni Lyrics

Twaingia malangoni Mwako, twakushukuru

Nyuwani Mwako, Twakusifu

Twakushukuru Bwana

Twahimidi jina lako, Yesu


Maana Wee ni mwema

Maana Wee ni mwema

Maana Wee ni mwema

Maana Wee ni mwema


Ni Mwema (Ni Mwema)

Ni Mwema (Ni Mwema)

Ni Mwema (Ni Mwema)

Ni Mwema (Ni Mwema)


Ni Mwema (Ni Mwema)

Yesu ni Mwema (Ni Mwema)

Ye ni Mwingi wa rehema (Ni Mwema)

Si mwepesi wa hasira (Ni Mwema)

Anaghairi mabaya (Ni Mwema)

Tena wa karibu (Ni Mwema)

wakati wa magumu (Ni Mwema)

Yeye mtetezi (Ni Mwema)