Sina cha kukurudishia (Ahsante) Lyrics Zoravo

Sina cha kukurudishia eh Bwana

Kwa fadhili zako maishani mwangu

Umefanya yaliyo makubwa

Wewe ni mwema 

Wewe ni mwema


Ahsante Ahsante Ahsante

Kwa fadhili zako 

Ahsante Ahsante Ahsante

Kwa uzuri wako