Zoravo - Sina cha kukurudishia (Ahsante) lyrics

 Sina cha kukurudishia eh Bwana

Kwa fadhili zako maishani mwangu

Umefanya yaliyo makuu Bwana

Wewe ni mwema

Wewe ni mwema


Asante

Asante

Asante

Kwa fadhili zako