Damu Lyrics by Kestin Mbogo ft. Essence of Worship

Damu iliyo mwagika, 
Pale msalabani Kalvari 
Hiyo damu yanitosheleza, 
Piyo damu yake Mwokozi 

Nimesamehewa, nimeoshwa dhambi
Hiyo damu yake Mwokozi 
Nimekombolewa, tena nimesahabika 
Hiyo damu yake Mwokozi 


Yesu aliingia, pahali patakativu 
Kwa damu yake mwenyewe 
Na sisi tumefanyika, wakuhani na wafalme 
Kwa damu yake Mwokozi 


Pale pale, pale pale msalabani 
Pale pale, ndipo nimetulia 

Nimetwika, pale pale 
Nimejificha, pale pale 
Chini ya msalaba, Pale pale, ndipo nimetulia