Ujulikane Una Haki Lyrics by Boaz Danken

Ujulikane una haki, usemapo neno lako
Ujulikane una haki, utoapo hukumu
Mtakatifu Yesu, Mtakatifu Yesu


Mwaminifu ni wewe, ukisema unatenda
Mwaminifu ni wewe, neno lako lina nguvu 
Mtakatifu Yesu, Mtakatifu Yesu 


Nakuabudu, nakuabudu Yesu
Nakuabudu Yesu 
Wastahili! Wastahili Yesu
Wastahili Yesu
Mtakatifu! Mtakatifu Yesu
Mtakatifu Yesu 


Ujulikane una haki, usemapo neno lako
Ujulikane una haki, utoapo hukumu
Mtakatifu Yesu, Mtakatifu Yesu