Naimba sasa hallelujah
Kwa msalaba nmepata
Kutoka katika utumwa
Nmeokoka nafurahii
Nmeokoka nafurahii
Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia
Mwokozi wangu siku zote
Zamani nlifungwa sana
Zamani nlifungwa sana
Kwa minyoro ya shetani
Nikampea bwana Yesu
Akaniweka huru kweli
Nimeokoka nafurahii
Nimeokoka nafurahii
Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia
Mwokozi wangu siku zote
Neema kubwa nilipata
Kuacha njia ya mauti,
Na nguvu ya wokovu
Huo yanichukua siku zote
Nimeokoka nafurahii
Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia
Mwokozi wangu siku zote
Na siku moja nitafika
Mbinguni kwake Mungu wangu
Milele nitamhimidi
Na kumwimbia kwa shukrani
Nimeokoka nafurahii
Na dhambi zangu zimetoka
Nataka kumtumikia
Mwokozi wangu siku zote
Social Plugin