Niseme Nini (Baba NinaKushukuru) Lyrics Thanksgiving By Dr Ipyana

Uliyo yatenda kwangu ni mengi
Shuhuda zako hazielezeki
Umefanya hili umefanya lile
Umenipa jina
Baba ninakushukuru

Uliyo yatenda kwangu ni mengi
Shuhuda zako hazielezeki
Umefanya hili umefanya lile
Umenipa jina
Baba ninakushukuru



Niseme nini siwezi kueleza
Baba ninakushukuruu
Umefanya mengi siwezikuelezaa
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini kwa yote umetendaa
Baba nina kushukuruu
Nikulipe nini kwa yote umetendaa
Baba nina kushukuruu


Baraka zako haziesabiki
Wema wako hauzoeleki
Umefanya hili umefanya lile
Umenipa jina
Baba ninakushukuruu

Baraka zako haziesabiki
Wema wako hauzoeleki
Umefanya hili umefanya lile
Umenipa jina,
Baba nina kushukuruuu

Niseme nini siwezi kueleza
Baba nina kushukuruu.
Niseme nini siwezi kuelezaa
Bali nina kushukuruu.