Bora Kushukuru Lyrics By Obby Alpha

Bora acha nimshukuru mungu kwa ivi nilivyo 
Maana ata kuna wengine hawajafika nilipo
Bora acha nimshukuru kwa iki nilichopata 
Maana ata kuna wengine wamekosa kabisaa

Tabasabu njoo
Nataka nibadili wangu mtazamo niwaze kitajiri 
Na wewe maumivu njoo 
Nataka nibadili wangu msimamo niishi kijasiri.

Ile habari ya kulialia kila siku nakataa(nakataa).
Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aa 
Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (makucha).
Wao walipo fanikiwa wakataka kutushusha.

Nafuta zile why me why me
sijapata kwa nini kwa nini
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Nafuta zile why mimi why mimi
Sijapata kwa nini kwa nini
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata  na mimi na mimi

Bora acha nimshukuru mungu kwa ivi nilivyo 
Maana ata kuna wengine hawajafika nilipo
Bora acha nimshukuru kwa iki nilichopata 
Maana ata kuna wengine wamekosa kabisaa.

Bora acha nimshukuru mungu kwa ivi nilivyo 
Maana ata kuna wengine hawajafika nilipo
Bora acha nimshukuru kwa iki nilichopata 
Maana ata kuna wengine wamekosa kabisaa.

Na Nilipokwenda kule wengine wanapatamani 
Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani 
Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata 
Wengine wako wamepambana wamekosa kabisaa.

Kumbe ni boraa kuridhika na iki 
Nilichopata ndio yangu ridhiki.
Mungu ni bora yeye hatabariki 
Amekupa hicho mi amenipa iki .