YESU KAMSHINDA SHETANI LYRICS BY ELISHA MBUKWA

Yesu kamshinda shetani
Yesu kamshinda shetani 
Yesu kamshinda shetani
Yesu kamshinda shetani 

Pale kalvari
Yesu kamshinda shetani
Pale kalvari
Yesu kamshinda shetani 

Magonjwa, dhiki, mauti, na choyo
Vilivyotunyanyasa kwa muda mrefu
Yesu alikuja ili tuwe nao uzima
Kisha tuwe nao tele

Yale magonjwa, dhiki, mauti,  na choyo
Vilivyotunyanyasa kwa muda mrefu
Yesu alikuja ili tuwe nao uzima
Kisha tuwe nao tele

Hivyo kataa dhambi, kataa magonjwa, 
Kataa mautu, kataa dhiki
Kwa msalaba tunashinda
Kwa msalaba tunashinda

Nasi tunaishinda dhambi
Nasi tunaishinda dhambi
Nasi tunaishinda dhambi
Nasi tunaishinda dhambi

Pale kalvari
Nasi tunaishinda dhambi
Pale kalvari
Nasi tunaishinda dhambi