KAMA SI MKONO WAKO LYRICS BY DR. IPYANA

Mwamba, Yesu Mwamba,
Acha nitangaze sifa zako

Kama si Mkono wako, 
Ningekuwa wapi

Nimesimama juu ya mwamba,
Juu ya mwamba
Umenitenga na dhoruba,
Umeniweka mahali pa juu 

Nimesimama juu ya mwamba, 
Palipo na nafasi 
Nimesimama juu ya mwamba
Umeniweka mahali pa juu 
Umenitenga na dhoruba
Umeniweka mahali pa juu 

Umeniinua umeniinua
Umeniweka mahali pa juu 

Kama si msalaba wako, msalaba wako
Ningekuwa wapi? 

Kama si rehema zako, rehema zako
Ningekuwa wapi