Nakuamini sana
Maneno yako yote
Milele yatadumu.
Maneno yako yote
Milele yatadumu.
Niiti kati shida
Nitakusaidia
Nategemea mwanga
Ahadi yako hiyo
Nategemea mwanga
Ahadi yako hiyo
Nakatika uchungu
Ni heri kuamini
Naweka roho yangu
Kulindwa nawe Baba
Naweka roho yangu
Kulindwa nawe Baba.
Uliyenifundisha
Kuita jina lako
Naona tumaini
Na tegemeo kwako
Naona tumaini
Na tegemeo kwako
Ninavyoomba kweli
Najua wasikia
Yaliyo mema kwangu
Najua wayafanya
Yaliyo mema kwangu
Najua wayafanya
Katika shida kali
Waweza kunilinda
Wanichukua mimi
Na masumbuko yangu
Wanichukua mimi
Na masumbuko yangu
Social Plugin