Ipo Siku Lyrics By Goodluck Gozbert

Nimbalii nimetoka
Tena niajabu kuwa hai, maana ningeshakufa aga
Nimengi nimeona, tena yakuvunja moyo labda ningesha mwacha mungu
Oh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa maa
Nimepitia, nikazoea
Maumivu yakudharauliwa umaskini
Kila siku ninajipa moyo (mmh)


Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe

Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)


Ingawa kwasasa wananisema vibaya
Nami sishangai najua niya-wanadamu hayoo
Ingawa sipati na nikwa muda murefu
Siachi kuomba mungu si kiziwi
Ah binadamu wema ukiwanacho
Kwasasa waniepuka sina rafiki wa dhati


Oh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa maa
Nimepitia, nikazoea
Maumivu yakudharauliwa umaskini
Kila siku ninajipa moyo 


Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Ipo siku yangu tu, ipo si-siku
Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)


Miaka imepita unaombaga mtoto hupati
Vuta subira maana yeye hachelewi
Ona biashara imeandamwa mikosi hupati
Usimwache mungu waganga watakuponza
Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna
Msimwache Mungu michepuko sio jibu
Umeugua tumaini la kupona hakuna
Usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia hey


Najua, ayaya
Najua, ayaya
Najua, ayaya
Ipooo
Najua, ayaya
Najua, ayaya
Najua, ayaya
Ipooo


Misukosuko ya ndoa (ipo)
Mtoto anakusumbua (siku)
Giza likiingia unawaza wapi utalala (iba iba ibarikiwe)
Masimango mashemeji (yangu tu)
Ati huzai mtoto (siku)
Masimango mama wa kambo, umemchosha nyumbani
Usiwaze husiumie, najua yote yatapita
Siku imekaribia, najua yote yatapita


Nawe ubarikiwee (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwee (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Nawe ubarikiwee (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwee (nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)