Yesu Sio Mwizi Lyrics By Guardian Angel

Yesu sio mwizi lakini ameuiba mwoyo wangu
Yesu si polisi anifunge ananibeba bembeleza
yeye ni rafiki wa dhati akiahidi lazima atatenda
Yesu ni mfalme wa amani kuwa karibu naye natamani *2


Yesu Yesu ni rafiki 
Nimemwona dhabiti
Yesu Yesu rafiki 
Ahadi zake kweli

Oh subiri ramumwami Robulai mumboyo gwanje 
Obulo namalatokake Bolireshuya ishihaya
Yesu no murina wa toto avolanga manakokake e 
Yesu no murina wa toto ovaebininae namangaaa


Yesu Yesu no murina 
emu nonanga bane
Yesu Yesu no murina 
manakokake toto


Yesu Yesu ni rafiki nimemwona dhabiti 
Yesu Yesu rafiki ahadi zake kweli


Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kukubali neno lake raha moyoni
Kumtegemea Yesu ni utamu sana 
Kwake daima nimepata uzima na amani

Yesu Yesu ni rafiki 
Nimemwona dhabiti 
Yesu Yesu rafiki
Ahadi zake kweli

Neno lake bwana ni kweli na Amina 
(Ahadi zake kweli)
Akiahidi kitu lazima atatenda
(Ahadi zake kweli)
Mungu ni mwaminifu uoo
(Ahadi zake kweli)
Ahadi zake kweli 
(Ahadi zake kweli)